(CONCEPTION DE SITE WEB)
Acha tutizamie kwa pamoja,ni vitu gani vinaongelewa mu WEB DESIGN(CONCEPTION DE SITE WEB),ni somo linafundisha jinsi ya utumiaji wa internet,hapo tunafundisha mwanafunzi jinsi ya kuunda web application,ni kisema web application na kuwa nataka kusema jinsi ya kuweza kujenga system ya kujisaidiza katika biashara,jinsi ya kuweza kufuatilia watumishi wa kampuni yako,jinsi ya kufuatilia wanafunzi,etc….
Kwa kweli ni system ambao inaweza kuundwa na mwanafunzi ambae alisoma katika shule la IBTC au alisomea sehemu yo yote pale ila katika uundaji wa WEB DESIGN (CONCEPTION DE SITE WEB), iyo sasa ndio wanaita Web application.
Mu Site Web ndipo mwanafunzi anasomea Web hosting(kutangaza vitu kupitia internet), mu IBTC FILM SCHOOL tunavifundisha wanafunzi wetu mpaka wanafahamu ujuzi huo wa hosting,ni kusema ya kwamba mwanafunzi tukishamaliza kumufundisha jinsi ya kuunda Web,na tunamfundisha jinsi ya kutangaza Web katika anga ya kimataifa(apploading) ku server(serveur),hapo kwenye izo data(données) zako zilikua local(locale) zinakua za kimataifa, tukisema za kimataifa(usikie ya kwamba kama dunia nzima itaona kazi yako uliofanya),hapo kila mtu kwenye ipo ataweza kuona kwa zile data(données) zako.
Baada ya hapo tunawaonyesha jinsi ya kuandikisha kazi yake(Enregistrement de nom de domaine),ni kusema ya kwamba hiyo kazi yake iwe au waipe jina ndio maana wanaita domaine,huwa unasikia zenye wanaita : .com ; .org ; .rw ; .cr ; .biz ; .net ;etc….
Hivi vyote ndivyo tunakwenda tunawafundisha, na tunawafundisha jinsi zinavyo nunuliwa,na jinsi zinvyo tumiwa,kingine chenye mwanafunzi anamalizia mu IBTC FILM SCHOOL mu department(département) ya Conception de Site Web,ataweza kuwa mchuuzi wa ma nom de domaines kama jinsi tulivyo watafsiria kwa juu,kwa hapo atakua mtu ambae anaitwa mkurugenzi wa Web(Maître Web) wa Web tofauti,hivyo vyote ndivyo sisi mu IBTC tunaingilia ndani ya mizizi,hivo sasa mwanafunzi atakuja kumaliza yuko na ujuzi hata wakuzidia wale wako na vyuo vikuu.
- Site Web inatumika kwa njia gani ? Hiyo internet inatumika kwa njia gani ?
Unapoanza kujenga mtandao wako,kuna vitu vinaitwa lugha au progamming language(Language de programmation),sisi kama IBTC FILM SCHOOL tunajisaidiza au kama sehemu zingine wanaofundisha kama sisi,mu IBTC FILM SCHOOL kwa heshima zetu tunafundisha zenye zinaitwa HTML ; CSS ; PHP ; My SQL ; CMS ; Java Script.
- Sasa mtu yo yote akiweza kuja kusoma mu IBTC ataweza kuvifahamu mu hayo miezi 3 ?
Ndio,kuna mtu ataweza kujifikiria ya kwamba miezi 3 ni miezi midogo,alakini si madogo kwa sababu ya nia nyingi tunazofundisha ndani.Kuna nyingine njia tunafundisha ndani mwanafunzi,tukitukisha system ya ma CMS(Content Management System),hii inakua iko na fasi vimeshatumikiwa,zinatusaidia kwa kujenga(kuunda) mtandao wake kwa mda usiozidisha wiki moja au siku 3 inatokana na jinsi uwo mtu anavyo tumika.
Katika izo lugha sasamnikianzia kwa hii ya kwanza,inaitwa HTML ;tunajisaidiza chenye wanaita Static Siteweb,ni kusema kama njia utaweza kujenga ka site web kadogo sana,kwa mfano kama ka business kako au kampuni,kujenga ka kitu kakuweza kujulikanisha vitu unavyo fanya kwa njia iko static(Visivyogeuka).
Kwa hio sasa ili ule mtandao wako uwe na muonekano unaovutia kadri wewe unavyotaka,hapo tena tutaongeza kujisaidiza CSS.
Ni kusema CSS hio inahusika na kutengeza muonekano(style),ni kama vile umejenga nyumba,ukishamaliza unasema mimi nyumba yangu ntaipaka rangi fulani, kwa hio hapo tukimaliza tutongeza tujisaidize nyingine lugha PHP,hio inakuja kwa kusaidia mtu,kwa sababu site web,zile habari mnaoiona inazo,vile vyote unayoiona,kuna watu zimeifadhi,iyo data base(Base de données) zinakua zinawekwa ndani,ndipo tunakufundisha kutumika data base(Base de données).
My SQL hii unaweza kutengeza data base(Base de données) yenye mtandao mzuri,na kitu kinaendana na ulinzi, tunakuja tena kutizama ku Java Script kwa sababu nao inaweza kukusaidia kwa uwezo wowote ule.
Kwa hio mtu akimaliza kusoma hivyo vyote tunamaliza kusema hapo juu anaweza kuanzia chini(Conception) kwa kuvijenga jinsi anavyotaka.Kwa huo mda kuna kitu mu IBTC tunaita website from scratch :ni kusema kutengeneza site web inaotumia code kwa kusema kuanzia ku A-Z, kwa hio sasa kuna nyingine njia kama CMS, hapo utaweza kutumikisha CMS tofauti kama vile Worldpress, Joomla, prestashop, poodo, etc….,izi ni nyingi sana kwa kutokana na mtandao unataka kutengeneza, tuseme kama mtu anakwambia nitengezee site web yenye itakua inasaidia watu kusomea online(E-learning) kuna CMS yenye inahusika na kutumika vitu kama hivyo.
Wakati huo IBTC FILM SCHOOL, itakufundisha vyote, kwa sababu unakwenda kuvitumika kama mradi au kama kazi yako ka kila siku, ajili viwe vinakukuwia wepesi kuvitumika na visiwe vinakukwaza na wateja ‘’eti site web yangu unaituka mwaka mzima,na tena ilikua inapaswa kuitumika kwa mda mfupi’’ kuna zingine tatizo utakwenda unasingiziwa, IBTC ipo kwa kukufundisha ajili uwe na maana katika jamii.
Izo CMS tunaziongeza mwanafunzi ajili viwe rahisi kwa mwanafunzi wetu endapo atakua yuko mu kazi.
- Hivi mtu wo wote ule,ukiweza kusoma vipengeli(faculté) tofauti,kwa kweli vitaweza kumkuwia urahisi ku soma Site web ?
- Hivi mtu wenye hana hata ufahamu kutokana labda na vyenye yeye alisomea,kwa kweli na yeye ataweza kuvifahamu akija kuvisomea mu IBTC FILM SCHOOL ?
Ndio,niliwambia hapo juu kama CMS ni nyingine njia ya coding(from scratch) ;hii njia ya 2 inapenda kusumbuana sana,ila ikiwa pamoja na CMS inafika inakua rahisi sana. Hii njia ambao tumeita mu IBTC FILM SCHOOL(from scratch) inapenda kusumbuana sana kwa sababu inafanana na yenye imo ndani mahesabu, kwa huo ufanisi sasa kuna mda mtu hua hataona mda wa kuongeza kuuboa ubongo wake kwa hio njia inaosumbuana, ila kwa ukweli ndio njia itakufaa kujitengenezea mtandao ambao uko poa kwa jinsi unavyotaka wewe.
Ila pamoja na CMS unaweza kwenda kwa zile template na unageuza jinsi unavyotaka kwa kuvikutananisha na kwa kupenda kwake au kwa mteja wake, hapo inaeleweka kama sisi IBTC FILM SCHOOL tuko hapo kwa kusaidia watu wote kwa kila kiwango ajisikiavyo kua rahisi. Kwa wale wangali wadogo wanaishi pamoja, hao tutaweza kuwafundisha kwa vile tulivyoita kutengeneza site web, kwa kuanzia ku A-Z(from scratch).
Chenye tutaweza kusema au kwambia watu wasijiogope kwa kutosoma site web,ni uwamuzi wa kujiitikisha kusoma, IBTC FILM SCHOOL iko kwa ajili yako ili watu wote waje kupata elimu ili tugeuza inchi zetu, na tena ili tuweze kutatua matatizo ambao yana kumba jamii yetu. Ukija mu IBTC tutakufuatilia ipasavyo kwa hio elimu,kwa sababu tutakua tunaona ni nini unaitaji ili tukufunze ipasavyo na tena ukafahamu vile unavyo inaitaji bila shaka.
Tunafanya kila linalowezekana lote ili tuwafunze vitu ambavyo vitakuia rahisi mu kazi au katika mradi wako.
- Hivi kweli mitandao zina utofauti gani na huwa zinatumika aje?ili mtu wo wote ajisikie kama ni umuhimu na yeye anaitaji?Mtu atawezaje kutofauti wa utumiaji wa hii au nyingine?
Kwa ukweli IBTC FILM SCHOOL ni nao sababu ntaweza kama inapendwa, kama jinsi mnavyoelewa IBTC: Innovation Business Technology College, vitu vyote IBTC inaofundisha ni vitu viko kisanaa, na tena kitu ambacho cha sanaa, ni kitu hakiwezi kua na staili fulani kila siku, ni kusema kama mtu ambae anae tumika site web haiwezi kukutanana na nyingine. Kwa kawaida ukisikia jina IBTC unasikiaemo innovation,kusema kama utakua umetizama mtandao za .com ukimaliza unajifikiria, hivi kweli hii site web,mbona haifanani na hii? unakutana ni vitu 2 viko tofauti kwa sababu watu walioitumika wako tofauti,unasikia kama kila mtu anakua alifanya innovation yake kwa sababu na hao watu wako tofauti.
Pindi tunaanza kukufundisha,tunakufundisha jinsi ya kujenga na jinsi wanavyo unda(kuandaa) site web,jinsi inavyo tumikiwaemo,kwa hio inafika inatokana na créativité yako,unachukua staili ambao wewe unaitaji au conception nzuri,hio ndio sababu inaitwa Conception de Site Web, ni kusema kama *Conception* hua haina staili moja,inakua na staili nyingi. Naweza kutengeneza Site Web,ukiwa umoja,utaweza ukafanya web zaidi haya 1000,ila usifanyake ambao itakujaka kufanana na nyingine,na hicho ndicho wanaita innovation kutokana na staili unakwenda unatumikisha au zile lugha tofauti,……..
- Ni ipi faida ya kusoma Site Web?Ni ipi faida ya mtu au kampani kuwa na Site Web?
Mtu aliye soma Site Web chenye inamfaidikia au kuwa na kampani,huwa unakua na faida sana,kwa sababu site web inasababisha kazi zako zinajulikana kwa njia rahisi.
Mfano: Utaweza kukutanana na mtu fulani,labda ulisha mjijulikanishaeko,ulishamwambia kazi zako unazofanya,ila unajikuta hauna mda wa kutosha ili umwambia kazi zako zote unazofanya,unampatia adresse ya site web,eti chukua hii business card yangu,utakuja kunitizama kwenye mtandao wangu(site web) *www.ibtcfilschool.com*. Nikija kutizama kwa ile site web ya ibtc atakuja kuelewa vingi mpaka pale atafahamu Vision na Mission,…….na vyenye haungeweza kumtafsiria kipindi mungekua mnaikaa kwa pamoja.
Kwa hio mtu aliesoma Conception graphique,ukibahatika kuimaliza,unakua unapata mradi mzuri tena utakao kusababisha kutokua kabwera kimaisha. Kimoja ntaweza kusema ni kwamba kutengeneza site web ni vitu havita kuomba vitu vingi sana kwa kuanzisha business yako,cha muhimu wewe utafanya ni kujiafanyia kujitambulisha(marketing),unasema kwa kujulikanisha kazi zako,kwa sababu kama umemaliza kusoma site web,unasema eti “mimi naitaji niwe développeur de site web” ,unakwenda unaikaa,iwe tu uwe na ordinateur yako na una réseau,kingine ni kazi isioitaji kuwa na bureau,kama mjuavyo kuwa na bureau ni uwezo mwingine,kwa hio sio umuhimu mpaka utumikie mu bureau,kwa sababu ndani ya hii dunia yetu vitu vingi vimeshakua ni bureau en espace(online office).
Si mpaka ushinde sehemu eti uko unatumika site web za watu na tena na kwako utaweza ukashinda unatumika ,asubuhi unaamuka una program site web yako,mtu anaiona,anakulipa,kwa hapo unakua unavuka bahari ya umaskini.
Unasikia ya kwamba ukisomea Site Web,unaskia kama sio kuhomba,inaonekana kama ni faida nyingi sana mwanafunzi wa IBTC anakua anapata na tena anakua anapata faida ambao itamsaidia maisha yake yote ni kama kupata kitambulisho cha ruksa ya kupeleka gari. Kwa kweli ukitizama sio pesa nyingi vitakuomba ili uwanze business yako,kwa sababu na hizo serveur unaziulizaka online(unatumikana nazo online),kunajinsi tunavifanya,ukija kusoma tutavikuonyesha hata hizo domaines nazo tunazinunulia online,kwa kweli ni vitu amabvyo vinakuomba kufanya bila kutoka kwenye uko. Utaweza kusema eti :
“Mimi kawaida nina kazi,labda unatumika serikalini,ni aje ntaweza kusoma Conception de Site Web,na mimi nakua nakwenda kufanya ma site web za watu na tena kazi inaendelea vizuri bila kiziwizi chochote?”
Ndio,lakini mu kazi unaotumika kuna mda huwa unapata hata dakika 30 au hata saa ukiwa unapumzika,kwa hapo utaweza ukapumzikia kwa hio site web ya watu,unakutana 250.000frw(Frc) na unaziingiza izo pesa,unakua unafanya akiba ya mshahara wako.
Furahia maisha ya kisasa na IBTC FILM SCHOOL/www.ibtcfilmschool.com
- Ni nini utaweza kwambia mtu ambae haja kuja kuanza mu IBTC FILM SCHOOL?
Kusoma mu IBTC FILM SCHOOL ni kujiwekezea maisha ya kesho. Ukiamka unakuja kusoma Conception de Site Web au vingine vipengeli tunavyo, sisi mu IBTC FILM SCHOOL huwa hatutizami eti unakiwango gani cha masomo,au eti una masters,doctorat au uko ku nyingine anga ya kimaisha ambao sisi hatufahamu,wewe njoo ujisikie uhuru kamili, cha muhimu ni kwamba unakuja kusoma kitu ambacho haufahamu,icho ndicho haufahamu,unakuja sisi tunakikufundisha na tena tunauminifu kamili ya kwamba ya kwamba hautajutia hata robo,tutakufundisha vizuri sana mpaka na wewe ikimaliza utakua ni kiwango cha kufanya kazi zako au kutumikia wengine.
Tafadhari: Ndani ya miezi 3 yenyewe,una saa 2 za kusoma kwa siku,wewe njoo,kama unatumika,kama uko mwanafunzi,saa yo yote ile,wewe ndie unajichagulia,njoo usome Conception de Site Web na wewe ili kesho ikufaidikie.